Lushoto view

LUSHOTO RISE-UP ....lets create its future.

Friday, December 18, 2015

LUSHOTO - MIGAHAWA NA NYUMBA ZA WAGENI

Ukiwa Lushoto - Tanga, kuna mahali na sehemu nyingi maridhawa mbazo unaweza kukaa, kupumzika na kupata huduma nyingi nzuri kama chakula, vinywaji, kambi, kupunga upepo mwanana na kutazama maeneo ya asili, ndege, maua, uoto wa asili na mazingira ya kuvutia....

Saturday, November 7, 2015

UTAMU WA LUGHA YA KISWAHILI

Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu (karibu asilimia thelathini), lakini sasa ya Kiingereza pia (karibu asilimia kumi), inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki (katika nchi za Kenya, Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda...

USING A SPREADSHEET TO STORE AND ANALYZE STUDENT'S DATA

Spreadsheet refers a group of values and other data organized into rows and columns, similar to the ruled paper worksheets traditionally used by bookkeepers and accounts. Spreadsheet software is the types of application software used to create computerized spreadsheets.Previously individuals and teachers have used manually prepared spreadsheets for years by writing in the figures and performing the computations. Computations were originally done...

Saturday, October 24, 2015

BURUDANI NI SEHEMU YA MAISHA YETU

BURUDANI NI SEHEMU YA MAISHA YETU . . . . TUWAPO KIJAMII ZAIDI VIPO VIKUNDI VINGI VYA SANAA KAMA VILE NYIMBO, MASHAIRI, NGOMA, MAIGIZO, NA KADHA WA KADHA ..........KARIBU LUSHOTO. =>>>>> MAGHUNDAA ( matarumbeta) =>>>>> HIZI NGOMAA ZABHUUDISHAA JAMII ZHOSHEEE ( ngoma hizi zaburudisha jamii yote ) . . . .  SOI NYOSHEE MSHEEZIGHE ( njooni nyote mcheze ). . . !!!! ...

JITENGENEZEE BUSTANI NDOGO NA YA GHARAMA NDOGO NYUMBANI

Zipo namna anuai za kukuwezesha kujipatia mboga nzuri, safi, bora na salama kwa afya yako. Unaweza kujihakikishia mboga salama isiyotumia kemikali na itakayokughalimu kiasi kidogo cha pesa na muda kidogo. Aidha, kulinda mboga zako dhidi ya magonjwa na vijidudu katika upandaji, ukuzaji na mavuno.  Kuna aina nyingi za bustani ndogo unazoweza kujitengenezea nyumbani na ambazo huitaji kuwa na eneo kubwa la ardhi. Kwa mfano, unaweza kutumia...

Friday, October 23, 2015

KILIMO NA UKUZAJI WA ZAO # NYANYA

Nyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani. Kwa wilaya ya # LUSHOTO, nyanya ni zao la kipaumbele katika mazao ya mboga linalo limwa na kuliwa kwa wingi ukilinganisha na mboga zingine. Nyanya hutumika karibu Katika kila mlo. Kulingana na umuhimu wa zao hili kama chakula na pia kama zao linalomwingizia kipato Mkulima, kuna haja ya kutoa mafunzo kuhusu mbinu bora za uzalishaji wake. Pia kuna umuhimu wa kuelekeza wakulima wa lushoto na wakulima tarajali kutoka sehemu zingine wasiolima zao hili ili nao waweze kuzalisha nyanya na...

Sunday, September 20, 2015

# PRIMARY SCHOOLS - LUSHOTO

LIST OF ALL PRIMARY SCHOOLS IN LUSHOTO DISTRICT AND THEIR EXAMINATION CENTER NUMBER [ORODHA YA SHULE ZA MSINGI ZA WILAYA YA LUSHOTO NA NAMBA ZA MITIHANI ZA KITUO] Zaidi pitia hapa=>>> ; http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/results/distr_2003.h...

Wednesday, September 16, 2015

KUHUSU WILAYA YA LUSHOTO

KUHUSU WILAYA YA LUSHOTO Wilaya ya Lushoto iko katika sehemu ya kaskazini ya Mkoa wa Tanga na iko kati ya mistari ya latiludo 4o 25 '- 4o 55' kusini mwa Ikweta na kati ya mistari ya longitudo 30o 10 '- 38o 35'  Longitude Mashariki mwa mstari wa Greenwich. Wilaya ina eneo la kilometa za mraba 3,500 na ina karibu 12.8% ya ardhi ya Mkoa wa Tanga. Inapakana na wilaya ya Korogwe upande wa kusini na wilaya ya Mkinga zaidi upande wa mashari...

LUSHOTO DISTRICT

ABOUT LUSHOTO DISTRICT Lushoto District is situated in the northern part of Tanga Region it lies within 4o 25’ – 4o 55’ latitude south of Equator and 30o 10’ – 38o 35’ Longitude East of Greenwich. The District has an area of 3,500 km2 and accounts for about 12.8% of Tanga Region. It borders with Korogwe District in the south and Mkinga District further east, Same District of Kilimanjaro Region in the northwest, and Republ...