Lushoto view

LUSHOTO RISE-UP ....lets create its future.

Saturday, October 24, 2015

BURUDANI NI SEHEMU YA MAISHA YETU

BURUDANI NI SEHEMU YA MAISHA YETU . . . . TUWAPO KIJAMII ZAIDI VIPO VIKUNDI VINGI VYA SANAA KAMA VILE NYIMBO, MASHAIRI, NGOMA, MAIGIZO, NA KADHA WA KADHA ..........KARIBU LUSHOTO. =>>>>> MAGHUNDAA ( matarumbeta) =>>>>> HIZI NGOMAA ZABHUUDISHAA JAMII ZHOSHEEE ( ngoma hizi zaburudisha jamii yote ) . . . .  SOI NYOSHEE MSHEEZIGHE ( njooni nyote mcheze ). . . !!!! ...

JITENGENEZEE BUSTANI NDOGO NA YA GHARAMA NDOGO NYUMBANI

Zipo namna anuai za kukuwezesha kujipatia mboga nzuri, safi, bora na salama kwa afya yako. Unaweza kujihakikishia mboga salama isiyotumia kemikali na itakayokughalimu kiasi kidogo cha pesa na muda kidogo. Aidha, kulinda mboga zako dhidi ya magonjwa na vijidudu katika upandaji, ukuzaji na mavuno.  Kuna aina nyingi za bustani ndogo unazoweza kujitengenezea nyumbani na ambazo huitaji kuwa na eneo kubwa la ardhi. Kwa mfano, unaweza kutumia...

Friday, October 23, 2015

KILIMO NA UKUZAJI WA ZAO # NYANYA

Nyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani. Kwa wilaya ya # LUSHOTO, nyanya ni zao la kipaumbele katika mazao ya mboga linalo limwa na kuliwa kwa wingi ukilinganisha na mboga zingine. Nyanya hutumika karibu Katika kila mlo. Kulingana na umuhimu wa zao hili kama chakula na pia kama zao linalomwingizia kipato Mkulima, kuna haja ya kutoa mafunzo kuhusu mbinu bora za uzalishaji wake. Pia kuna umuhimu wa kuelekeza wakulima wa lushoto na wakulima tarajali kutoka sehemu zingine wasiolima zao hili ili nao waweze kuzalisha nyanya na...