Lushoto view
LUSHOTO RISE-UP ....lets create its future.
Lushoto view
LUSHOTO RISE-UP ....lets create its future.
Lushoto view
LUSHOTO RISE-UP ....lets create its future.
Lushoto view
LUSHOTO RISE-UP ....lets create its future.
Lushoto view
LUSHOTO RISE-UP ....lets create its future.
Wednesday, January 17, 2018
MKUZI JUU SECONDARY SCHOOL - LUSHOTO
8:42 AM
No comments
School Name: MKUZI JUU
SECONDARY SCHOOL
Region: TANGA
District: LUSHOTO
Ward: . . . . . . . . . . . .
. . . .
Friday, January 5, 2018
MAFYOKSI - MATUNDA YA LUSHOTO
3:02 PM
No comments
MAFYOKSI (kwa wasambaa) yanajulikana pia kama Crab apple au Plums peaches kwa lugha ya kiingereza.
Haya
ni matunda yanayopatikana kwa wingi sana Lushoto, kwa radha ni matamu sana kwa
mlaji, yanafanana sana (kwa karibu) kiumbo, radha, kokwa, mti na msimu na Matunda
Damu (plums) au Faume - Kisambaa).
Fyoksi
[Peach (Prunus persica)] ni tunda la mti wenye asili ya eneo la Kaskazini
Magharibi mwa China kati ya Bonde la Tarim na mteremko wa kaskazini wa milima
ya Kunlun Shan, ambapo miti ya matunda haya ilikuwa ya kwanza kuzalishwa na kukuzwa.
Ukiwa Lushoto, matunda haya
utayapata kwa wingi miezi ya septemba (mwishoni mwa mwaka) hadi mwishoni mwa
mwezi januari (mwaka unaofuata).
Miti
ya Fyoksi huwa si mikubwa kama ya miembe au parachichi, bali huwa katika kimo
cha chini na si imara kwa mvunaji kuweza kuikwea/ kupanda juu na kuvuna
matunda, kwani huweza kuinama ama kuvunjika.
Miti
hii ya Fyoksi inazaa matunda ambayo huitwa Fyoksi.
Miti
wenyewe huweza kuvumilia joto kwa karibu -26 hadi -30 ° C (-15 hadi -22 ° F),
ingawa msimu wa maua ya vitunda mara
nyingi hufa katika kipindi hicho ili kuzuia/kuulinda mmea huu wakati wa majira ya joto.
Kufa
kwa maua ya vitunda vya Fyoksi huanza kutokea kati ya -15 na -25 ° C (5 na -13
° F) jotoridi, kulingana na mkulima/ kilimo na wakati wa baridi, na vitunda vya
Fyoksi kuwa chini ya uvumilivu baridi mwishoni mwa msimu wa baridi kali
(kipupwe).
Kilimo
cha miti ya Fyoksi kwa kawaida kinaanza kuzaa matunda katika mwaka wao wa tatu
tangu kupandwa na kukuzwa vizuri.
Fyoksi ni matunda yanayopatikana kwaraisi, na kwa
kipindi cha msimu wake, huwa yanapatikana nyumbani, mashambani, katika vichaka,
ama kuuzwa sokoni.SHULE YA MSINGI MILINGANO - BUMBULI (LUSHOTO)
2:34 PM
No comments
SHULE YA MSINGI MILINGANO
Mkoa wa TANGA
Wilaya ya LUSHOTO
Halmashauri ya BUMBULI
Kata ya . . . . . . . . . . . . . . . .
S.L.P.: 165, SONI
Namba ya Kituo ya Mitihani : PS…………..
Motto wa Shule: “Elimu Ni Ngao”
Alama : Ipo katika halmashauri ya Bumbuli karimu na shule ya
sekondari Mibukwe; umbali wa meta 500 (nusu
kilometa) toka barabarani.
* * * * * * * * *
MASANGE JUU SECONDARY SCHOOL - LUSHOTO
2:15 PM
No comments
School Name: MASANGE JUU
SECONDARY SCHOOL
Region: TANGA
District: LUSHOTO
Ward: . . . . . . . . . . . .
. . . .
Wednesday, November 22, 2017
NTAMBWE SECONDARY SCHOOL - LUSHOTO
12:21 AM
No comments
School Name: NTAMBWE
SECONDARY SCHOOL
Region: TANGA
District: LUSHOTO
Ward: . . . . . . . . . . . .
. . . .
Tuesday, November 21, 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)