- Moja – Mwenga
- Mbili – Mbii
- Tatu – Natu
- Nne – Ne
- Tano – Shano
- Sita – Sita
- Saba – Saba
- Nane – Mnane
- Tisa – Kenda
- Kumi – Kumi
- 11 – Kumi na Mwenga
- 12 – Kumi na Mbii
- 30 – Saathini
- 33 – Saathini na Natu
- 35 – Saathini na Shano
- 100 – Mia Mwenga
- 200 – Mia Mbii
- 300 – Mia Natu
- 500 – Mia Shano
- 900 – Mia Kenda
- 1000 – Elufu Mwenga
- 5000 – Elufu Shano
habari,
ReplyDeleteHongera kwa kazi nzuri. naomba kuchangia maeneo fulani. Ni ng'wenga, Mbii, ntantu, saasini, kumi na ng'wenga, alufu ng'wenga,(Wasambaa hawana saathini wana saasini.