Wednesday, September 20, 2017

SHULE YA MSINGI MHELO - LUSHOTO

SHULE YA MSINGI MHELO
Mkoa wa TANGA
Wilaya ya LUSHOTO
Kata ya MAGAMBA
S.L.P.: 105 Lushoto - Tanga
Namba ya Kituo ya Mitihani : PS.2003099
Motto wa Shule: '' Juhudi Kwa Kila Kazi ''
Alama : Ipo kijiji cha Irente - Mhelo, karibu na kanisa Katoriki (la Watakatifu Petro na Paulo - Mhelo) na Hotel ya kitalii (Irente View Cliff Lodge). Muhimu ukiwa hapa shuleni, utaweza kuona maeneo mbalimbali ya Mazinde, Mazinde Ngua, Kasiga, Mlima mafi, Barabara ya Dar es Salaam - Arusha na kadhalika, kwani kuna ''view point'' nzuri sana iliyopo hapa shuleni.






















*  *  *  *  *  *  *  *  *  *  *

0 comments:

Post a Comment