Ukiwa Lushoto - Tanga, kuna mahali na sehemu nyingi
maridhawa mbazo unaweza kukaa, kupumzika na kupata huduma nyingi
nzuri kama chakula, vinywaji, kambi, kupunga upepo mwanana na
kutazama maeneo ya asili, ndege, maua, uoto wa asili na mazingira ya
kuvutia.
Zifuatazo ni baadhi ya sehemu hizo kama Nyumba za wageni (Guest houses, Hostel & Lodges), Sehemu za kuvutia na Mapumziko (Resort & Cottage), Hoteli na Migahawa (Hotels, Motel & Restaurants) . . .
Zifuatazo ni baadhi ya sehemu hizo kama Nyumba za wageni (Guest houses, Hostel & Lodges), Sehemu za kuvutia na Mapumziko (Resort & Cottage), Hoteli na Migahawa (Hotels, Motel & Restaurants) . . .
A : NYUMBA ZA WAGENI (GUEST HOUSE, HOSTEL & LODGE)
- ADVENTURE GUEST HOUSE
- MID TOWN ''A'' GUEST HOUSE
- MID TOWN ''B'' GUEST HOUSE
- KITIVO GUEST HOUSE
- MILEMELENI GUEST HOUSE
- SHOOTING STAR INN
- AVOCADO LODGE
- EXECUTIVE LODGE
- KAKAKUONA LODGE
- KILIMANI LODGING
- MULLERS MOUNTAIN LODGE
- VIEW POINT LODGE
- ROSMIN HOSTEL
- TUMAINI HOSTEL
B : MIGAHAWA (HOTEL & RESTAURANT)
- GREEN FARM FRIENDS HOTEL
- HIGHLAND PARK HOTEL
- IRENTE VIEW POINT HOTEL
- LAWNS HOTEL
- TRIPLE TWELVE HOTEL
- KIALILO GREEN GARDEN MOTEL
C : SEHEMU ZA KUVUTIA NA MAPUMZIKO (RESORT & COTTAGE)
- MKUZI CREEK RESORT & CAMPING
- SWISS FARM COTTAGE
Karibu Mji wa Lushoto na ufurahie mandhari nzuri ya ukijani, ukarimu, hali ya hewa nzuri na huduma nzuri za mapumziko katika baadhi ya sehemu maalumu kwaajili yako, kukuhudumia na kukupa ukitarajiacho kupata.
Titeh Lushoto
(Kishambaa)
0 comments:
Post a Comment