Aha haaaaaa aaaah . . . . . huku kuna imani kuwa jina la mji huu lilianza kutokana na mazungumzo ya wenyeji wa huku lushotop na mzungu aliyekuwa mtafiti wakati huo wa kikoloni. Wilaya ya Lushoto ilianza kabla ya Uhuru wa Tanganyika, chini ya utawala wa kikoloni ambapo ilijulikana kama Usambara.
Jina
la Lushoto lilitungwa ama kuandikwa na Mzungu aliyewauliza wenyeji
jina la eneo zima akaambiwa ni Lushoto wakimaanisha kichaka cha
kujificha. Mzungu akaliandika kwenye daftari lake na akaliweka kwenye
ramani kuwa eneo hilo ni Lushoto kwa kujua ndilo jina la eneo.
Basi
ukiachana na hayo ya historia kiduchu ya mji na jina Lushoto;
zifuatazo ni baadhi ya picha na ramani zikionyesha mpangilio,
muonekano na uelekeo wa mji (wilaya ya Lushoto) hususani lushoto
mjini kata ya lushoto.
*************************
0 comments:
Post a Comment